Umwagiliaji
maji mashambani kwa teknolojia ya matone (drip irrigation) ni nzuri
hasa kwa kilimo cha mboga mboga kwani kiasi cha maji kidogo hutumika
kuzalisha mazao kwa kuupa uhakika mmea wa kupata maji wakati
unapoyahitaji. Teknolojia hii husaidia kuzalisha mazao kwa faida.
Wataalamu wa kilimo wa umwagiliaji wanaweza kukusaidia kukupa maelezo ya
kina kuhusu teknolojia hii.Ulizia Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika-
Barabara ya Mandela/Kilimo- Temeke Veterinary, Halmashauri za wilaya,
na Ofisi za Umwagiliaji za Kanda.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni